JINSI YA KUANZISHA BIASHARA
Je unatafuta jinsi ya kuanzisha biashara na njia rahisi za kufikia mafanikio? Fuata hatua zifuatazo ili kuanzisha biashara yako yenye mafanikio.
- Tambua kipawa chako na mambo unayoyapendelea
- Fikiri ni jinsi gani unaweza badili kipawa hicho kukuletea pesa
- Fikiri je ukiamua kukifanya kipawa chako kuwa biashara kuna soko la kutosha?
- Angalia je kipawa chako kinaondoa ama kupunguza stree zozote za kimaisha za watu wengine
- Angalia ni mtaji wa kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara hiyo
- Angalia kama kuna watu unaweza kushirikiana nao ili muweze kusaidiana kukusanya nguvu
- Tafuta mshauri akuelekeze kama kuna usajili wowote unatakiwa kufanya ili biashara yako iwe halali usisumbuliwe

Maoni
Chapisha Maoni